Wednesday, October 24, 2018

Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Ndani ya Dar es Salaame ulikuja bure
Tena kimwana kimwana hujui kuchuna
Na zile lawama za wale waliokuzoweza
Ulikuja jana na leo tofauti sana
Tena bora yule wa Jana, wa leo tofauti sana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
Tena Bora yule wa Jana, wa jana leo wa jana
Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma


Oyah yehee
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee omamee haya mamee
Omamee omamee omamee haya mamee
Mbona unajitesa sana
Omamee omamee omamee haya mamee
Omamee omamee omamee haya mamee


Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana
Ndani ya Dar es Salaam mambo mataam hayakukwisha
We bado mtoto kwa mama hujayajua mengi
Mwenda tezi na omo marejeo ungamani

Amesema sana mama dunia tambara bovu
Kuna asali na shubiri, ujana giza na nuru
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana
Ulichokifuata huku pata, umekosa ulivyoacha

Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana
Kwa vichache ulivyo vitaka, nivingi ulivyoacha

Mbona unajitesa sana
Omamee omamee omamee haya mamee
Omamee omamee omamee haya mamee
Mbona unawatesa sana
Omamee omamee omamee haya mamee
Omamee omamee omamee haya mamee


Right, Man Walter
Chiks vallo, combinenga
Pertio loso guitar

Unaleta lawama, wewe unaleta lawama
Unaleta lawama, moyo unaleta lawama
We mwana uwooo
Uchungu wa mwana aujuae mzazii
Siku zote milele
Analiaaa ooh
Kutwa nzima nalalama iyee
Obaba mama yakoo
We mwana rudieee
Watafurahi wakikuona
Umerejea salamaa


Omamee omamee omamee haya mamee
Omamee omamee omamee haya mamee
Omamee omamee omamee haya mamee
Omamee omamee omamee haya mamee

0 comments:

Post a Comment