Saturday, March 25, 2017


Rudi utotoni
usipotembea utabebwa mgongoni,
255 champion boy
niite Mbwana Samata,

Wanoota mapembe
waongezee mkia,
Na ukinibip tu nakupigia,
N` let make
one thing clear,
blah blah
sitaki kusikia
Sio simba sio chui,
sio mamba,
ngozi yangu
inatosha kujigamba,
na sina maneno
 ya kwenye kanga ,
 kazi juu ya kazi
yani bamba tu bamba
mzaha unaweza
 kuzaa kizaa zaa,
sinzia na fegi
uchome kibanda
kalale uote ndoto zako
 za kitanda
si bado tupo macho
mida ya wanga
funga mkanda,
kaza na kamba
ama ufuate nyayo
 uchane msamba,
 pasua miamba
pasua anga,
tunasemaga chambua
 kama karanga,

 Ee maisha na muziki
acha maneno weka muziki
ukiwa zap ukiwa up
ukiwa juu ukiwa chini
piga muziki ...yeee
safari na muziki ...heee
acha maneno weka muziki ...yeeeh
imba unachopenda
na ukitaka kucheza
 cheza muziki
bambata
shika kamata
rumba chakacha
Kaboka mchizi
nishadata, nshadata,

unataka kukimbia
na huna break
what do you expect?
bongo kongo
kwa Thabombeki,
cheza lokasa ya
mbongo uwezi kumake,
waache waself
usije ukajicomfuse
 mzuka wa kuruka
reggae kwenye blues
unamchuzi no excuse,
 maisha yetu ya kila siku
 kama vile movie
vitu vingine
havitakagi ujuaji,
 utajikuta unatandikia
watu jamvi
kusubiria embe
chini ya mnazi,
 kumuelewesha chizi
 utajipa kazi
funga mkanda
kaza na kamba
 ama ufuate nyayo
 uchane msamba
pasua miamba
pasua anga
tunasemaga chambua
kama karanga

Ee(uwiiiiiiii)
 maisha namuziki
acha maneno weka muziki,
ukiwa zap ukiwa up
 ukiwa juu ukiwa chini,
 piga muziki
yeeeh
safari na muziki,
 heee
acha maneno weka muziki
yeeeh
 imba unachopenda
na ukitaka kucheza
cheza muziki,

wanatamani tupotee
 kwenye map
m?
tunapeleka game
to the top top
If i got told you,
we don`t stop,
don`t sop
we don`t stop

wanatamani tupotee
 kwenye map,
tunapeleka game
to the top top
If i got told you,
na we don`t stop
 we don`t stop

0 comments:

Post a Comment