kama upepo pepea kunifata mimi shoga
ee
na kama bifu nimebobea hata uende kuroga weeh
na maneno unaongea kumbe una nguvu za soda
eeh
kazi kunisema kwa watu ukiniona unazuga eeh
kugombana na mimi bado
naona kama unanuka baba bado
facebook twitter huzijui bado
hata insta live huijui bado
unapenda jinadi
kujikuta unajua kumbe mambo bado
achana nami
mwenzio long time mpaka leo gado
jini kisirani
we ni jini kisirani
jini kisirani
we ni jini kisirani
wakikugusa (yanakupanda) yanakupanda
wakikuchokonoa eeh yanakupanda yanakupanda
wakikugusa (yanakupanda) yanakupanda
wakikuchokonoa eeh yanakupanda yanakupanda
jichungeee usifate zangu nyayo
ukifata zangu nyayo utapiga sana miayoo
kwanza unanionaje kila siku mm ninapanda bei
umechunda we ntantarira zako zitakuponza wee
Badamu batamwagikamwagika na utazoa mwenyewe
Ukizileta zitapangikapangika nikuache upangue (mwenyewe)
kugombana na mimi bado
naona kama unanuka baba bado
facebook twitter huzijui bado
ata insta live huijui bado
unapenda jinadi
kujikuta unajua kumbe mambo bado
achana nami
mwenzio long time mpaka leo gado
jini kisirani
we ni jini kisirani
jini kisirani
we ni jini kisirani
wakikugusa (yanakupanda) yanakupanda
wakikuchokonoa eeh yanakupanda yanakupanda
wakikugusa (yanakupanda) yanakupanda
wakikuchokonoa eeh yanakupanda yanakupanda
Aaaeeh!
jini kisirani
jini kisirani
jini kisirani
we ni jini kisirani
Home
»
»Unlabelled
» Amber Lulu - Jini Kisirani lyrics
Thursday, September 6, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment