Sunday, April 9, 2017

maji ya moto yamekua baridi, 
(Hu la lala lah)
hakimu nimekua shahidi, 
la lala lah
nikijishusha mateso yanazidi,
la lala lah
aloniliza ndo wakunifariji, 

waache waoane ×4 

yamesibitisha macho,
 lakini moyo unakataa, 
nimeamini kikulacho,
 ni yule unaona anaekufaa,
 nilifumba mboni zangu,
 kwa wengine nimuone yeye tu, 
nikamwaga jasho langu, 
japo kidogo nile nae yeye tu, 
mwambie awe huru wala sito lalamaa
(aaaaaaa, aaaaaaa) 
sitaki kukufuru wafunge ndoa salama
 (aaaaaa, aaaaaa) 

 waache waoane×4 

anaepanga kugawanya huwaga ni mungu baba,
 katu siwezi kulalama ridhiki mafungu saba, 
najitaidi sana huenda sikumridhisha labda, 
ila kinacho nchanganya akunambia kabla, 
tena nakupa maua mpelekee, 
wasije yatupa naomba wayapokeee, 
na sunna ntafunga usiku niwaombee,
 awape baraka muumba watoto awaletee,
 eeeaaaa. 
 waache waowane (Ohh Salimin sanaa)
waache waowane (wawe baba na mama)
waache waowane (Tena naweka na nadhiri)
waache waowane

maji ya moto yamekua baridi, 
(Hu la lala lah)
hakimu nimekua shahidi, 
la lala lah
nikijishusha mateso yanazidi,
la lala lah
aloniliza ndo wakunifariji,

waache waoane ×4

Japo moyo  wangu (Kite tee)
moyo  wangu (Kite tee)
Yalabi  moyo (Kite tee)
Taratibu nitazoea
moyooo (Kite tee)
moyo  wangu (Kite tee)
mwenzenu moyo  (Kite tee)
Taratibu nitazoea
ooh mama moyooo (Kite tee)
moyooo hii (Kite tee)
wangu  moyo
taratibu mamaa

0 comments:

Post a Comment