Friday, March 24, 2017

La lalalala
la lalalalala lalalalala
lalalalala lalalalala

We all need love, we all need affection
And the way that you looking at me I can feel a connection
Unanibamba baby kwanza unavyochekecha
Kinywaji kwa mkono na kibeti kwa bega

 Je siku hizi mademu wanapenda dough
Na machalii pia tunazo drama
Ya dunia ni mengi sana, no commitment mama
So nipe nafasi nikupe mapenzi yangu
Yakilia hallelujah ooh

(Chorus )
We all need love, nakupenda tena nina imani sana
Ushaniteka, ushaniteka
We all need someone,
 nakupenda tena nina imani sana
Ushaniteka, ushaniteka
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Ye ye ye ye ye ye
No no no no no no

(Verse 2)
They all need love, me I need a wife
Wa kuishi na yeye
Ukifata vijana, utakufa mapema
Magonjwa yamejaa
Jina langu Ali, sasa lazima nile
Nikikosa kula nawe ndo chakula
Nitakonda mazima
And I believe…
Nitakuwa na wewe mwanzo mpaka mwisho
And I believe…
Baby
(Chorus)
We all need love, nakupenda tena nina imani sana
Ushaniteka, ushaniteka
We all need someone, nakupenda tena nina imani sana
Ushaniteka, ushaniteka
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
We all need love, nakupenda tena nina imani sana
Ushaniteka, ushaniteka,
We all need someone, nakupenda tena nina imani sana
Ushaniteka, ushaniteka
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Ali… (bumaye!)
Sauti So    bumaye!
East Africa…  bumaye!
Tanzania, Kenya…  bumaye!
Kigali… bumaye!
Bujumbura… bumaye!
Kampala… bumaye!
Kinsasha… bumaye!
Heyo! Dar Es Salaam, Dar Es Salaam
This is Alikiba
Sauti Soul!
Okay kaeni tayari tunakuja na ngoma hii
Ngoma hii kutoka… Nairobe
Pop–
Yeah!

0 comments:

Post a Comment